Mdudu mabawa-msuko Picha | Urambazajikuihariri na kuongeza habari
Mbegu za mduduWadudu mabawa-msuko
waduduodaPlecopteramabawanusungeliPterygotamabawanayadilavaspishivipapasiomachooselimikiaserkifumbatiomatamvuaarithropodimimea
Mdudu mabawa-msuko
Jump to navigation
Jump to search
Mdudu mabawa-msuko | ||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Mdudu mabawa-msuko (Perla marginata) | ||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||
| ||||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||||
Nusuoda 2:
|
Wadudu mabawa-msuko ni wadudu wadogo hadi wakubwa kiasi wa oda Plecoptera (plekein = kusuka, ptera = mabawa) katika nusungeli Pterygota (wenye mabawa). Wadudu hawa huishi majini baridi katika muundo wa nayadi (lava ya wadudu wa maji) kwa muda wa mwaka mmoja hadi miaka minne kufuatana na spishi, halafu hutoka kwenye maji na kuambua na kuwa mdudu aliyekomaa wenye mabawa. Hawa ni wadudu sahili bila viungo vya kiwiliwili vilivyotoholewa. Wana viungo vya kinywa vinavyotumika kwa kutafuna, vipapasio virefu vyenye pingili nyingi, macho makubwa ya kuungwa, oseli tatu (macho ya msingi) na mikia miwili mirefu (kwa kweli serki zilizorefuka). Wasiporuka wanakunja mabawa juu ya fumbatio. Nayadi wanafanana na mdudu mpevu lakini hawana mabawa na wana matamvua. Nayadi wengi zaidi hukamata arithropodi wengine wa maji, lakini nayadi wa spishi nyingine hula maada ya mimea. Wadudu wapevu hula mimea lakini wengine hawali kabisa.
Picha |
Capniidae (Capnopsis schilleri)
Chloroperlidae (nayadi wa Sweltsa sp.)
Chloroperlidae (Sweltsa townesi)
Nemouridae (Nemoura cinerea)
Nemouridae (nayadi wa Nemoura cinerea)
Makala hii kuhusu mdudu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mdudu mabawa-msuko kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Makala hiyo kuhusu "Mdudu mabawa-msuko" inatumia jina ambalo halijakuwepo kwa lugha ya Kiswahili. Jina hili linapendekezwa kwa jina la mnyama huyu au wanyama hawa amba(ye)(o) ha(wa)na jina kwa sasa. Wasomaji wanaombwa kuchangia mawazo yao kwenye ukurasa wa majadiliano ya makala. |
Jamii:
- Mbegu za mdudu
- Wadudu mabawa-msuko
(window.RLQ=window.RLQ||[]).push(function()mw.config.set("wgPageParseReport":"limitreport":"cputime":"0.044","walltime":"0.081","ppvisitednodes":"value":270,"limit":1000000,"ppgeneratednodes":"value":0,"limit":1500000,"postexpandincludesize":"value":4708,"limit":2097152,"templateargumentsize":"value":1284,"limit":2097152,"expansiondepth":"value":6,"limit":40,"expensivefunctioncount":"value":0,"limit":500,"unstrip-depth":"value":0,"limit":20,"unstrip-size":"value":3738,"limit":5000000,"entityaccesscount":"value":0,"limit":400,"timingprofile":["100.00% 48.672 1 -total"," 29.47% 14.343 1 Kigezo:Uainishaji"," 12.67% 6.169 1 Kigezo:Taxobox_colour"," 5.52% 2.685 1 Kigezo:Mbegu-mdudu"," 4.82% 2.344 1 Kigezo:Taxobox/Error_colour"," 4.49% 2.186 1 Kigezo:Pendekezo-jina-mnyama"],"cachereport":"origin":"mw1243","timestamp":"20190410101013","ttl":2592000,"transientcontent":false););"@context":"https://schema.org","@type":"Article","name":"Mdudu mabawa-msuko","url":"https://sw.wikipedia.org/wiki/Mdudu_mabawa-msuko","sameAs":"http://www.wikidata.org/entity/Q203547","mainEntity":"http://www.wikidata.org/entity/Q203547","author":"@type":"Organization","name":"Uchangiaji katika miradi ya Wikimedia","publisher":"@type":"Organization","name":"Wikimedia Foundation, Inc.","logo":"@type":"ImageObject","url":"https://www.wikimedia.org/static/images/wmf-hor-googpub.png","datePublished":"2015-01-01T19:40:50Z","dateModified":"2017-01-26T20:12:07Z","image":"https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/b/b7/Perla.marginata.-.lindsey.jpg"(window.RLQ=window.RLQ||[]).push(function()mw.config.set("wgBackendResponseTime":138,"wgHostname":"mw1328"););